Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia: 24/3 JP Mitende || pt1 Injili


Listen Later

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.

Wiki hii ya Jumapili tarehe 24/3 ni Jumapili ya Mitende, ukurasa 93 katika kitabu cha sala.

Kwenye hiyo sehemu ya kwanza tunafundisha juu ya tukio la Yesu kuingia Yerusalemu kwa shangwe katika Marko 11:1–10 na tunafafanua mawazo kadhaa katika somo la Injili ambalo ni Marko 14:32–15:41.

Sehemu ya pili, podi ifuatayo, inahusu Wazo Kuu la siku, Njia ya Msalaba, na masomo mengine, 1 Wakorintho 1:18–25, Zaburi 22, na Isaya 50:4–9.

Karibu!



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa