
Sign up to save your podcasts
Or


Karibu tujifunze pamoja neno la Mungu. Tunafafanua na kujadiliana neno la Mungu katika Marko 12:28-31 na kufundisha juu ya wazo kuu la siku la Pentekoste 19 yaani Kushinda Majaribu.
Karibu na Mungu akubariki kwa neno lake.
Mchungaji Mmasa | Mwalimu Maiki
By Mwalimu Mike, Mchungaji MmasaKaribu tujifunze pamoja neno la Mungu. Tunafafanua na kujadiliana neno la Mungu katika Marko 12:28-31 na kufundisha juu ya wazo kuu la siku la Pentekoste 19 yaani Kushinda Majaribu.
Karibu na Mungu akubariki kwa neno lake.
Mchungaji Mmasa | Mwalimu Maiki