Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia: 5/5 JP5 Pasaka Kuushinda Ulimwengu || Yohana 16:16–22


Listen Later

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.

Wiki hii ya Jumapili tarehe 5/5 ni Jumapili ya 5 baada ya Pasaka, ukurasa 112 katika kitabu cha sala cha kanisa la Anglikana

Katika mafundisho yetu tunafafanua Yohana 16:16–22 juu ya uzima na ufufuo, na jinsi ambavyo kwa kifo chake na ufufuo wake Yesu aliuushinda ulimwengu. Kwa upande wetu kuna furaha kwa kuwa Yesu yuko pamoja nasi. 1 Yn 5 pia inatumika kueleza jambo la kushikiri na Yesu kwa ushindi na uzima kwa njia ya imani.

Karibu!



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa