Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia: 7/4 JP1 Pasaka


Listen Later

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.

Wiki hii ya Jumapili tarehe 7/4 ni Jumapili ya 1 baada ya Pasaka, ukurasa 109 katika kitabu cha sala.

Katika podi hii tunazungumza wazo la ushindi na namna ambavyo Yesu alishinda kwa kifo chake na ufufuo. Sisi twaweza kwa imani kushiriki na ushindi wake, na kupata wokovu, na uhuru, na uzima wa milele. Pia tunaangalia sehemu ya Injili, Yohana 20:24–31 na kufikiri jambo la imani kwa vile Tomaso alitaka kuona bali sisi hatuoni kwa macho. Yohana alisema aliandika ishara zile ile tupate kuamini kwa njia ya maandiko, yaani Biblia.

Karibu!



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa