Sign up to save your podcasts
Or

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.
Wiki hii ya Jumapili tarehe 9/6 ni Jumapili ya 3 baada ya Pentekoste, ukurasa 118 katika kitabu cha sala. Tutafafanua Mathayo 22:1–14 na Wazo Kuu la Utii wa Neno.
Karibu!
By Mwalimu Mike, Mchungaji MmasaMchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.
Wiki hii ya Jumapili tarehe 9/6 ni Jumapili ya 3 baada ya Pentekoste, ukurasa 118 katika kitabu cha sala. Tutafafanua Mathayo 22:1–14 na Wazo Kuu la Utii wa Neno.
Karibu!