
Sign up to save your podcasts
Or


Karibu tujifunze pamoja katika neno la Mungu. Katika kifungu hiki Yesu anatoa mfano wa ufalme kama karamu, na wengine walikataa mwaliko wa kuhudhuria. Hao watu walimkataa Yesu kuwa njia pekee ya wokovu. Lakini kwa kila atakayemwamini Yesu, hawatatahayarika kamwe.
Mwalimu Maiki.
By Mwalimu Mike, Mchungaji MmasaKaribu tujifunze pamoja katika neno la Mungu. Katika kifungu hiki Yesu anatoa mfano wa ufalme kama karamu, na wengine walikataa mwaliko wa kuhudhuria. Hao watu walimkataa Yesu kuwa njia pekee ya wokovu. Lakini kwa kila atakayemwamini Yesu, hawatatahayarika kamwe.
Mwalimu Maiki.