Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia: JP 23 Nov Pentekoste 24 || Kuenenda katika Kweli || Marko 12


Listen Later

Karibu tujifunze neno la Mungu. Tunaangalia somo kwa jumapili, Marko 12:13–17. Tunajifunza juu ya kuwa mtu wa kweli, na kumpa Mungu yaliyo ya kwake na Kaisari yaliyo ya kwake. Wajibu wa Mkristo wa kumtii Mungu na wajibu wa Mkristo wa kuitii serikali. Karibu.

Mchungaji Mmasa, Mwalimu Maiki.



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa