Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia: Jumapili 1 Kwaresima || Kufunga


Listen Later

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.

Wiki hii ya Jumapili tarehe 18/2 ni Jumapili ya 1 wakati wa Kwaresima, ukurasa 89 katika kitabu cha sala.

Kwenye hiyo podi, sehemu ya pili, tunafundisha juu ya jambo la kufunga ambalo ni wazo kuu la siku na tunasema kidogo juu ya masomo mengi, yaani Mwanzo 4:1–10, Zaburi 119:1–8 na 1 Petro 4:1–11. Kwa mafundisho katika Luka 4:1–13 karibu ukasikiliza podi iliyotangulia, sehemu ya kwanza.

Karibu.



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa