Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia: Jumapili 1 Kwaresima || Luka 4:1–13


Listen Later

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.

Wiki hii ya Jumapili tarehe 18/2 ni Jumapili ya 1 wakati wa Kwaresima, ukurasa 89 katika kitabu cha sala.

Kwenye hiyo podi tunafundisha somo la Injili, Luka 4:1–13 pamoja na mambo ya kujaribiwa na dhambi na jinsi ambavyo Yesu alishinda kwa ajili yetu. Kwa podi itakayofuata tunasema zaidi juu ya jambo la kufunga ambalo ni wazo kuu la siku na tunasema kidogo juu ya masomo mengi, yaani Mwanzo 4:1–10, Zaburi 119:1–8 na 1 Petro 4:1–11.

Karibu.



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa