Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia: Jumapili ya 1 kabla ya Kwaresima (2) || 1 Yn 4, Zab 32, Hes 15


Listen Later

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.

Wiki hii ya Jumapili tarehe 11/2 ni Jumapili ya 1 kabla ya Kwaresima, ukurasa 88 katika kitabu cha sala.

Kwenye hiyo podi tunafundisha somo la waraka, 1 Yohana 4:7–21, Zaburi 32, na somo la Agano la Kale: Hesabu 15:32–36. Somo la Injili na Wazo Kuu tulizifundisha katika sehemu ya kwanza, podi iliyotangulia.

Karibu.



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa