Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia: Jumapili ya 2 kabla ya Kwaresima


Listen Later

Maelezo na mazungumzo katika wazo kuu la kalenda, ukurasa 87 wa kitabu cha sala, jumapili ya pili kabla ya kwaresima. Wazo Kuu ni Msaada wa Mungu katika maisha ya Kiroho. Pia kuna majadiliano juu ya maana ya Waefeso 3:14–21. Karibu.



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa