MAISHA na Koleman Thompson

MAISHA na Koleman Thompson

By Koleman ThompsonEducationSelf-Improvement
Download on the App Store

MAISHA na Koleman Thompson episodes

  • 6. Lizbeth Leonard | Maisha ya Vijana wa Tanzania

    Lizbeth Leonard ni mtu mzuri sana ambaye anampenda Mungu na familia yake sana. Nilibarikiwa sana kuishi na yeye na familia yake wakati ambao nilikuwa Tanzania. Aliboresha maisha yangu sana kwa mfano na maneno yake. Kwenye kipindi hiki, tulizungumza sana kuhusu maisha ya vijana wa Tanzania (ikijumuisha umuhimu wao, changamoto zao, na utatuzi kwa changamoto zao). Natumaini kwamba wengine watafaidika kutokana na mazungumzo haya.

    54 min
  • 5. Mwalimu Vinold John | Utamaduni na Lugha ya Waswahili
    Vinold John ni mwalimu bora kabisa na nimefurahi kujifunza kutoka kwake mara kwa mara kwenye progamu hii hapa Tanzania. Anapenda sana kufundisha kuhusu utamaduni na lugha ya Waswahili. Katika kipindi hiki, tulizungumza mawili matatu kuhusu mada hizo, pamoja na umuhimu wa subira katika maisha yetu. Furahie!
    Ukitamani kujifunza kutoka kwa mwalimu Vinold, unaweza kumkuta kwa njia zifuatazo:
    Whatsapp - +255 756 704 834
    Podcast - Bonga Language School
    Instagram - bonga_language_school
    57 min
  • 3. Fredrick Charles | Maana ya Maisha na Umuhimu wa Amri za Mungu na Mpango Wake
    Katika kipindi hiki, Fredi na mimi tulizungumzia maana ya maisha kidini na kijamii. Fredi ni rafiki yangu mpya hapa Tanzania. Yeye ni mtu mwema sana na ana mawazo mazuri mengi kushiriki. Anapenda Mungu sana na pia anafuatilia mambo ya siasa na mpira. Tuliongea kuhusu mpango wa Mungu na umuhimu wa kupenda wengine katika maisha yetu. Alisimulia matokeo machache ya maisha yake pia. Mfurahie!
    1 hr 19 min
  • 2. Grace Neema Lubango | Majaribu Magumu ya Maisha na Tofauti Kati ya Maisha ya Tanzania na Marekani
    Grace Neema Lubango ni rafiki yangu mwema. Alilelewa Tanzania na akahamia Marekani miaka kadhaa iliyopita. Katika kipindi hiki tulizungumzia sana tofauti kati ya maisha yake Tanzania na maisha yake Marekani. Aliweza kutoa ushauri mzuri sana. Pia, aligusia sana majaribu magumu ambayo amepitia maishani mwake na jinsi alivyoweza kumkaribia Mungu katika majaribu hayo. Nafiriki mtafaidika sana kwa kusikiliza. Na pia, Grace anapanga kuanzisha podcast mwenyewe ambayo itaitwa “Conversations with Miss Grace.” Napendekeza sana mtafute hiyo podcast baadaye ili kusikiliza mazungumzo mengine ambayo atakuwa nayo. Asante
    1 hr 3 min

About MAISHA na Koleman Thompson

From the publisher's feed

Karibu kwenye podcast yangu, MAISHA: Swahili Edition! Dhumuni la podcast hii ni kuzungumzia safari zetu za maisha na mambo ambayo tumepitia na kujifunza. Kwa majina naitwa Koleman Thompson. Nililelewa…