Voice Of Philip Miyawa

MAKALA: NDUGU HASIMU MPAKANI


Listen Later

Kwa miaka na mikaka jamii ya wakuria wanaoishi mpakani mwa Kenya na Tanzania wameishi kama Ndugu. Lakini visa vya hivi majuzi vya wakuria kutoka upande Wa Kenya kuvamiwa nchini Tanzania wanapovuka mpaka kuingia katika taifa  hilo  jirani vinatishia kusambaratisha undugu kati ya jamii hiyo inayotenganishwa  na mpaka.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Voice Of Philip MiyawaBy Philip Miyawa