MAFUNDISHO YA MTUME PAULO

MAMBO MATANO(5) YATOKANAYO NA FUNDISHO LA MT. PAULO KUHUSU WANAWAKE


Listen Later

Katika kipindi hiki cha Maswali na Majibu, tunachambua mambo matano muhimu tunayojifunza kutokana na mafundisho ya Paulo kuhusu nafasi ya wanawake katika Kanisa na jamii ya leo. Tutachunguza:

Hekima ya Paulo katika kueneza Injili bila kusababisha vikwazo vya kijamii (1 Wakorintho 9:20-22)

Mchango wa wanawake katika huduma ya Kikristo kama Prisila, Febe, na Yunia

Umuhimu wa elimu ya Biblia kwa wote bila ubaguzi wa kijinsia

🎧 Jiunge nasi kwenye mjadala huu wa kina ili kuelewa jinsi tunavyoweza kutumia mafundisho ya Paulo kwa hekima katika Kanisa la leo.

📌 Sikiliza sasa: Podcast na YouTube📢 Usisahau ku-subscribe, ku-like, na kushiriki na wengine!

#NafasiYaMwanamke #MafundishoYaPaulo #KanisaNaJamii #Uinjilisti #UsawaWaKiroho #PodcastYaKikristo

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

MAFUNDISHO YA MTUME PAULOBy Gwakisa Mwaipopo