Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajia kufanya ziara ya Siku Tatu Mwanza na ataongea na makundi maalumu kama vijana Siku ya tarehe 15 Mwezi huu, Evarist Mapesa katoa maoni yake kwa kile anacho tarajia kutoka kwa Mh. Rais
---
Send in a voice message: https://anchor.fm/keep-up-with-youth1/message