Chahali Podcast

Maria Sarungi Anusurika Kutekwa


Listen Later

Mwanaharakati maarufu MARIA SARUNGI amenusurika kutekwa nchini Kenya baada ya WASIOJULIKANA kuripotiwa kuwemo nchini humo wakimuwinda mwanaharakati huyo. Taarifa zinaeleza kuwa Wasiojulikana hao walitumwa na SAMIA.Makala pia inagusia sintofahamu iliyoibuka baada ya Askofu Josephat Gwajima kujitokeza kwenye mkesha wa Mwaka Mpya uliofanyika kwenye Kanisalake la Ufufuo na Uzima

Video kamili ipo hapa https://youtu.be/UajMzIjU4Mg

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Chahali PodcastBy Evarist Chahali

  • 5
  • 5
  • 5
  • 5
  • 5

5

1 ratings


More shows like Chahali Podcast

View all
Unhedged by Financial Times & Pushkin Industries

Unhedged

194 Listeners