KaBrazen

Mariama Sonko | Kiswahili


Listen Later

Mbegu zinazoimba, watu wachoyo na msichana anayekumbuka jinsi ya kusikiliza! 

Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi murua juu ya msichana anayesikiliza mbegu. Katika dunia ambapo watu wameshikamana na ardhi yao, dunia ambapo mbegu huzungumza na wanawake wanasikiliza, kila kitu kinabadilika wauzaji walafi wanapowasili na kuuza mbegu zisizozungumza. Lakini Mariama, kamwe hawezi kusahau lugha ya mbegu zile, na anatukumbusha kusikiliza kila wakati.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

KaBrazenBy The LAM Sisterhood