Dhamana

MAWAKILI WARUHUSIWA MAHAKAMA ZA MWANZO.


Listen Later

Marekebisho yaliyofanywa katika sheria ya mahakama za mahakimu yanaruhusu mawakili kuwawakilisha wateja wao katika mahakama za mwanzo ambapo awali mawakili walikuwa hawaruhusiwi kuwakilisha wateja wao katika mahakama za mwanzo.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

DhamanaBy Jungu Podcast.