The Coy Podcast

Mezani S1EP04: Na Marthin Kimanga - Jambazi Mstaafu


Listen Later

Asilimia kubwa ya maisha yetu yapotunayojifunza kupitia maisha yetu binafsi lakini kupitia maisha ya watu wanaotuzunguka kwa yale walioyapitia.
Mezani kwetu leo tumepiga stori  na Marthin Kimanga ambae ameshuhudi namna alivyokuwa jambazi na kufanya matukio makubwa ya ujambazi na namna alivyojiingiza kwenye ushirikina ili kijilinda kwenye matukio waliyokuwa wanayafanya.
Karibu kusikiliza na tujifunze.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

The Coy PodcastBy Koi wa Coy