Voice Of Philip Miyawa

MILA YA NYUMBA MBOKE NA MASAIBU YAKE


Listen Later

Miongoni mwa jamii ya wakuria wanaoishi katika kaunti ya Migori NYUMBA MBOKE ni aina ya ndowa ambapo mwanamke huowa mwanamke mwenzake.

Tamaduni hii ambayo imekita mizizi miongoni mwa jamii hii inashutumiwa sana kwa kuchangia kuenea kwa virusi vya ukimwi.

Makala haya yanaelezea kwa kina mengi kuhusu mila hii ambayo mara nyingi haizungumziwi hadharani.

Katika malkala haya niliongea na waathiriwa wa mila hii potovu, wenye kuieneza na vile vile nikachukuwa maoni ya jamii kwa jumla.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Voice Of Philip MiyawaBy Philip Miyawa