DAKA CODE

Mr Eazy amezindua PawaPay | Google inailipa Apple ili ipate upendeleo katika search ya Safari


Listen Later

Story za leo:
- Mr Eazi ameanzisha mfumo wake wa malipo - PawaPay
- Kim Kardashian amegoma kubadili jina
- Lil Nas X na Tony Hawk kuhusu kuweka damu zao kwenye bidhaa zao
- Instagram kupata comments za "Nah he Twekin" zinazofanana katika posts za Mastaa
- FaceID itakuwa inakubali ukivaa Face Mask (Barakoa)
- Oppo inataka kutengeneza tablet yake
- Google inamlipa Apple ili iwe default search engine katika browser ya Safari.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

DAKA CODEBy John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy