Biblia Inasema Usiogope

Msaada Wako U Katika Bwana


Listen Later

Wakati shida nyingi zimekusonga, changamoto za maisha ni kubwa sana kiasi cha kujiona mdogo sana mbele ya hayo yanayokukabili, kumbuka usijiangalie wewe bali muangalie Bwana aliyezifanya mbingu na nchi. Msaada wako u katika Bwana, Yeye afanyaye njia mahali pasipo na njia ndiyo awe kimbilio lako siku zote. Hapo hutaogopa kitu. Biblia inasema usiogope.


...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri