MATUMAINI PROG 1500TITLE: MSALABA WA YESU NI LAZIMATEXT: WAGALATIA 2:20-21Hujambo na karibu tujifunze neno lamungu pamoja msalaba wa yesu kristo ni lazima ndio mada yetu. Wagalatia 2:20-21. Jina langu ni david ungai wimbo alafu tuendeleeWIMBONaam karibu tujifunze pamoja kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 2:20-21, msalaba wa yesu ni lazima.Makanisa mengi karibu yote huonyesha na […]