Biblia Inasema Usiogope

Msiogope Bali Furahini Katika Bwana


Listen Later

Tunapojitia nguvu katika Bwana kwa yale tunayopitia tunapaswa kufahamu kuwa maandiko yanasema Furaha ya Bwana ndiyo nguvu zetu. Tena imeandikwa Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini. Namna ya kuchota katika baraka za wokovu wetu ni kwa furaha. Usinunenue mpendwa wala kwenda katika huzuni kila wakati ukidhani huo ndiyo utakatifu. Usiogope bali furahi katika Bwana.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri