
Sign up to save your podcasts
Or


Mungu alitupatia mwokozi Yesu. Yesu alimfufua kijana naye pia anatufufua sote wanaomwamini Yesu. Hatuwezi kufanya cho chote na wokovu sio kama kuhitimu shule, bali ni kwa mfano wa kufufuliwa. Yesu ni mwokozi anayetuokoa kabisa. Luka 7:11–15 | Waefeso 2:1–10.
By Mwalimu Mike, Mchungaji MmasaMungu alitupatia mwokozi Yesu. Yesu alimfufua kijana naye pia anatufufua sote wanaomwamini Yesu. Hatuwezi kufanya cho chote na wokovu sio kama kuhitimu shule, bali ni kwa mfano wa kufufuliwa. Yesu ni mwokozi anayetuokoa kabisa. Luka 7:11–15 | Waefeso 2:1–10.