
Sign up to save your podcasts
Or


Ungana naye Billy Bilali mtangazaji wako asipenda makuu katika burudani hii ya dakika 10 ya Muziki ijumaa.
follow me @billy bilali
Msanii Wachira Wa Karangatha amepata umaarufu nchini Kenya, baada ya kuachilia kibao Pricilla.
Benson Wakoli aliketi chini naye, skiza makala kufahamu mengi.
Pata makala yako Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Ali Bilali
Ambatana naye Billy Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa julai 24 2026,
Kumbuka pia kumfuatilia @billybilali
Sikiliza burudnai hii ya Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali. Usikose pia kumfollow kwenye mitandal yake ya kijamii.
@billy bilali
Makala haya Muziki Ijumaa mtangazaji wako asiependa makuu Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki Ijumaa leo Mei 22 2026.
Kumbuka pia kumfollow
@billy bilali
Ijumaa Hii mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Ijumaa. ambatana naye mwanzo hadi tamati na usikose kumuandikia
@billy bilali
Wiki hii mtayarishaji wa makala haya Emmanuel Makundi, amekuandalia burudani murua, toka kwa wasanii kama vile Fally Ipupa, Acid Vokoz, Chella, Okello Max na Harmonize
From the publisher's feed
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali.…

0 Listeners

1 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

1 Listeners

0 Listeners

0 Listeners