Hapa nitakutengenezea hatua kwa hatua *sponsored ads* Yaan TANGAZO kwa facebook na instagram kwa pamoja ili kukuza biashara yako.
01. Nitakutengenezea na kukuelekeza namna ya kuandaa na kuRun tangazo lako facebook na instagram
02. Nitalisimamia mpaka limalize pajeti yake
03. Nitafix changamoto yeyote itakayozuia tangazo hilo lisiRun na kumalizika vyema.
04. Nitakuonyesha mahali pa kupata nyenzo za kuandaa tangazo
05. Nitasimamia maendeleo yako kwa wiki nzima Yaan siku saba tu.