Wahubiri wa Neno Pod

Nani ni Mtawala wa Ulimwengu?


Listen Later

Karibu tujifunze nini Biblia inachosema juu ya swali hili: nani ni mtawala wa ulimwengu. Watu wengi wanaogopa roho na pepo wakidhani kuwa wanatawala maisha yao, bali Mungu anatawala yote akiwa juu, na pia Mungu yu karibu kwa neema, akitujali na kutulinda. Karibu tujifunze pamoja!



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa