Youthly Christian Content

NDANI YA AGANO by Angel Benard


Listen Later

Majira na nyakatitulizopo zimejaa mambo mengi ambayo yameitingisha dunia na kufanya mwanadamu kuishi kwa maswali mengi ambapo majibu ya wengi ni kama yameshikiliwa mahali. Wana wa Mungu, mambo hayapungui uzito, ila neno linasema atakaevumilia hadi mwisho huyo ataokoka.   AGANO lililotuzaa, ndilo linalotushikilia hadi mwisho wetu, nguvu ya kusimama ipo katika kulijua na kumjua alietuzaa kwa gharama kubwa na kusimamia kwa uaminifu kila ambacho amesema. Mungu wetu ni muaminifu maira yote.   Tukutane Ibadani.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Youthly Christian ContentBy Youthly Christian Content


More shows like Youthly Christian Content

View all
Message of The Day (MoTD) by Message of The Day

Message of The Day (MoTD)

44 Listeners