Pastor Biseko Kimasa's podcast

Nguzo 10 ili Ukristo uibadilishe Jamii Part 1.


Listen Later

Maombi ya mara kwa mara na kufunga ni Nguzo mhimu sana kwa Kanisa na wakristo ambayo itafungua anga,kuvunja nguvu za matambiko,ushirikina,Uganda na uchawi pamoja na kuteka maeneo yaliyotawaliwa na Shetani kwa muda mrefu na kuyaweka chini ya Kristo.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Pastor Biseko Kimasa's podcastBy Pastor Biseko Kimasa