Mungu mwenye uwezo ametenda mambo makuu ambayo inapita fahamu ya wanadamu. Hukuona wala kujua kesho yako lakini yeye anaona mwanzo hadi mwisho wako. Anajua kila kitu. Anaona kila kitu. Yeye hujibu maombi kulingana na utajiri wa utukufu wake wala sikulingana na fikira zako. Hallelujah. Glory be to God.