Biblia Inasema Usiogope

Nimhofu nani?


Listen Later

Unapomuweka Bwana Mungu kama nuru yako na ngome yako maishani mwako hauna haja ya kuogopa yeyote wala chochote. Huna haja ya kuogopa kwa sababu yeye Bwana anakuzunguka kukulinda, anakupatia mahitaji yako wewe na nyumba yako. Amani yako iwe ni ya Mungu wako katika Kristo Yesu. Usiogope.


...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri