Wahubiri wa Neno Pod

Nini kitatokea wakati nitakapofariki?


Listen Later

Hilo ni la kwanza katika mfululizo wa maswali ya msingi. Karibu kututumia maswali yako. Tutajitahidi kutoa majibu ya maswali muhimu na ya msingi kwa mujibu wa Biblia.

Swali hili linahusu jinsi ilivyo mauti na kama mfu aweza kuathiri maisha yetu, lakini hasa juu ya hukumu kwa sababu ya dhambi lakini pia na tumaini Mungu alilotupatia kwa ufufuo wa Yesu. Karibu tujifunze pamoja.

Mwalimu Mike. Mchungaji Mmasa.



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa