NoticiAudio

NoticiAudio Kimwani 28.03.2020


Listen Later

Salama jamah mussikiliza noticiAudio. Karibuni habar za lelo kamba ezi:

▪️Wanu wali na bunduki watuala nafassi Mocimboa da praia na Quissanga.

▪️Umodja wa kimataifa wankulebela kushunguiwa wanainchi wa Cabo Delgado.

▪️Wonguezeka para 7 wanu wambukize uluere wa coronavirus mu inty ya Moçambiqui.

▪️Kiongozi wa mida wa empresa LAM kahukumiwa miaka 14.

Landikisse uzuji wa Podcast ema ukurassa wa Telegram na WhatsApp pamodja na ukurassa wa Facebook wa NoticiAudio ili uphathe habazi za mana za inty ya Moçambique, kwa Kila sumana.

Assante Sana, mphaka nafassi Nhenguine

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

NoticiAudioBy NoticiAudio