Director Kenny Mtayarishaji wa video (Tanzania) amefanya mahujiano maalumu na One O One, ambapo amefanikiwa kuzungumzia vitu vingi vinavyohusu maisha yake halisi na kazi yake kwa ujumla tafadhali usikose kusikiliza haya mahojiano. Tunapatikana Apple Podcasts | TuneIn | iHeartRadio | Google Podcasts | Audiomack | Deezer | Amazon music | Spotify | RadioPublic | Overcast | Pocket Casts | Castbox | Breaker @ONE O ONE. Asante sana. ©2021 One O One.