Maua Sama Msanii wa muziki wa Kizazi kipya Tanzania (Bongo flavor) amefanya mahujiano maalumu na One O One ambapo amefanikiwa kuzungumzia vitu vingi vinavyohusu maisha yake halisi na muziki wake kwa ujumla tafadhali usikose kusikiliza haya mahojiano. Tunapatikana Apple Podcasts | TuneIn | iHeartRadio | Google Podcasts | Audiomack | Deezer | Amazon music | Spotify | RadioPublic | Overcast | Pocket Casts | Castbox | Breaker @ONE O ONE. Asante sana. ©2020 One O One.