Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
jifunze kila kitu unachohitaji kujua kuhusu maisha,biashara na self-devolopment sehemu moja,nikieleza kila hatua ninayo jifunza na kutoa kila elimu nilionayo kwenu ili wote tuweze kufika pale wote amb... more
FAQs about One Step Within Podcast:How many episodes does One Step Within Podcast have?The podcast currently has 37 episodes available.
October 20, 2022Njia Nzuri Za Kuendesha Social Media Campaignkuna njia ambazo zimedhibitishwa kwa namna ya wewe utakavyoweza kuendesha social media campaign yenye manufaa kwako na biashara yako na kwenye hii episode nimeeleza...more12minPlay
October 20, 2022Usi Uze Bidhaa Uza Offerswatu wengi kwenye biashara wapo kwenye biashara ya kuuza bidhaa cha kushangaza mpo wengi mnao shindana kupelekea kupunguza gharama za bidhaa zako.kwenye hii episode ninakuonyesha namna ya kuuza offers na sio bidhaaa au commodity...more18minPlay
October 20, 2022Usi Outsource Marketinghakuna kitu kikubwa na muhimu kwa mfanya biashara au mjasiliamaali kama marketing,ni kitu ambacho sio cha kumuachia mtu mwengine akufanyie yaan sawasawa umuachie mtu alale na mkeo au mumeo sio jambo zuri...more6minPlay
October 20, 2022fanya webinars LEOkuna umuhimu mkubwa sana wa kufanya webinars kwenye biashara yako hasa kama unauza bidhaa za bei ya juu. webinars ni moja ya njia nzuri na yenye nguvu kuunganisha mahusiano yako na wateja wako...more6minPlay
October 20, 2022Kua na Accountability Partnerkwenye maisha unaweza ukafanya kitu ikafikia mahali ukakwama.ila ukiwa na mwenzako pembeni wa kukushikilia kukufanya uendelee pale unapo hisi kuacha ni jambo muhimu sana kwenye maisha...more8minPlay
October 20, 2022Je wewe una break even lini kwenye biashara yako?natumai leo nitakueleza jinsi watu wengi wananvyo break even kwenye biashara yako na pia uweze kutambua njia gani ni nzuri za kufuata kuweza kubreak even mapema...more10minPlay
September 01, 2022Jua Namna Ya Kuleta Wateja Kwenye Biashara YakoNdani ya hii episode nimeelezea jinsi gani utakavyotumia social media kuleta watu kutoka kwenye simu zao mpaka kwenye biashara yako na kuanza kukuza na kuongeza wigo wa biashara yako. ...more16minPlay
September 01, 2022Ijue "UNIQUE SELLING PROPOSITION"(USP)Ijue nini maana ya usp na namna ya kuitengeneza ili uweze kua na message itakayo kutofautisha kati yako wewe na watu wengine mnao fanya biashara moja sokoni,ni muhimu sana hii kuifanya maana ndio itakayoweka utofauti kati ya kua biashara tu ya kawaida au kua biashara itakayofanikiwa....more9minPlay
September 01, 2022Tengeneza Makundi Ili UfanikiweJifunze na kujua namna ya kutengeneza makundi au upanga ili uweze kujua kati ya watu gani hapa duniani umekuja kuwahudumia na wapi sio,simama na kile unachokiamini ili uweze kufika safari mungu akiyotaka uifikie...more10minPlay
September 01, 2022Nini Maana Ya NFT's Na Zina Msaada Ganizijue NFT's na kazi zake ili uwezekujua namna ya kuzitumia ili uweze kuingia kwenye uchumi mpya utakao kusaidia kuweza kuuza huduma na bidhaa kwa njia iliyo salama zaidi...more13minPlay
FAQs about One Step Within Podcast:How many episodes does One Step Within Podcast have?The podcast currently has 37 episodes available.