Hearing Gods voice( Sikia sauti ya Mungu)

Open Doors


Listen Later

Malango ni njia inayotumiwa na Mungu kuleta ama ku access mtu akiwa kwenye ulimwengu huu, milango inapokua inafungwa baraka zinabaki mlango bila kukufikia!Kwenye hii podcast utafunguka na kuelewa juu ya siri ya malango na kukuongoza katika maombi ambayo yatabadilisha maisha yako!
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Hearing Gods voice( Sikia sauti ya Mungu)By Francis Kessy