Karibuni kwenye baze ya ukweli! Katika episode hii ya leo, MC Tawai anamkaribisha fundi wa mitambo, Pocker Rhymes (aka Pocker Bwoy), ndani ya studio. 🎙️
​Tunaingia ndani kabisa kuchambua safari yake ya muziki—kuanzia mwanzo wa 'Chora Saba', vibe la 'Tapo Tapo', hadi ujumbe mzito wa 'KWA NiNi!' na ujasiri wa 'Hamniwezi'. 💿 Pocker anafunguka kuhusu changamoto za wasanii chipukizi mtaani na kutoa freestyle ya hatari ambayo hufai kuikosa!
​Kama unataka kujua kwanini Pocker Rhymes ndiye msanii wa kutazamwa zaidi msimu huu, bonyeza Play sasa hivi! Support local, support talent. 🇰🇪💯
​Keep it locked, keep it Chipukizi Hits!"