Kalibu kusikiliza postive vibe episod ya kwanza.Ndani ya episod hii tutaongelea mada mbili ya kwanza ni siri tano za kupata mafanikio bila kua tegemezi na mada ya pili tutaongelea ni kwanini watu wengi hushindwa kufanikiwa au kutimiza malengo kwa wakati sahihi