Rais amewaalika baadhi ya Wanariadha katika ikulu kama vile Mary Moraa na Fedinard Omanyala. Hii ni baada ya FAITH KIPYEGON kuvunja Rekodi ya mita 5000 kule Paris.