Katika sehemu hii utapata vipindi na makala mbali mbali toka redio Rumuli. Unaweza kuchagua toka hazina yetu ya makala zenye upako na msaada kwa maisha yako ya kila siku. Mahubiri, mafunzo ya watoto,…
vipindi vya vijana, wababa na wamama, michezo, uchumi na biashara, kilimo na ufugaji, maadili, habari na burudani. Wasiliana pamoja nasi kupitia kwa barua pepe [email protected] au whatsapp, telegram no +255627909686.