Karibu katika Podcasts ya Daka Code, we back again!!!!
Let's discuss some trending stories katika Muziki, Stories za Tech na Matumizi Extra katika kutumia vifaa mbalimbali.
Stories za Leo:
- WizKid kuweka rekodi katika muziki wake
- Card B kuweka rekodi katika YouTube
- Instagram was down
- Twitter inafuta Twitter Fleets
- Google kutambulisha chip yake mpya
- Jinsi ya kutumia simu kama Mouse na keyboard
Usiache ku-subscribe katika Channel Yetu, feel free kutoa comments na mawazo yako.
WELCOME!!!!