Sign up to save your podcasts
Or

Mtoto ndio mhusika mkuu katika Episode hii. Jukumu la Malezi wakati wazazi wameachana au kutengana mara nyingi huwa linaangukia kwa mzazi mmoja wakati mwingi mama au ndugu wasio wazazi. Ni mda sasa wa kuongelea swala zima la "Responsible Parenting" na "Co-parenting" katika mazingira ya wazazi wawili wasio wapenzi.
Ukuwaji wa jamii bora na kesho iliyo na tumaini unategemea sana afya ya akili ya mtoto mmoja mmoja katika jamii, na kila mtoto ni muhimu katika jamii kwa ajili ya kesho ya nchi yetu na dunia kwa ujumla. Hivyo episode hii inampa kipaumbele mtoto kama jukumu lisilokwepeka kwa mzazi.
By LinnetMtoto ndio mhusika mkuu katika Episode hii. Jukumu la Malezi wakati wazazi wameachana au kutengana mara nyingi huwa linaangukia kwa mzazi mmoja wakati mwingi mama au ndugu wasio wazazi. Ni mda sasa wa kuongelea swala zima la "Responsible Parenting" na "Co-parenting" katika mazingira ya wazazi wawili wasio wapenzi.