Story za Siku:
- Rihanna amemshtaki baba yake
- Travis Scott na Kylie Jenner wanategemea mtoto wa pili
- Event ya Apple ya September 14
- LG imetoa aina mpya ya kioo
- Gmail itaweka Video na Audio Calls
- WhatsApp imeanza kukubali namba moja katika vifaa vinne
- App ya kujaribu vitu kabla ya kununua online