Katika Episode hii ya kwanza ya Love point nimejaribu kukupatia tips 6 za jinsi gani unaweza kufanya mawasiliano yaendelee kwenye mahusiano na ukizifuata tips izi zinaweza kukusaidia kwa namna moja au nyingine, nimezifanyia majaribio mimi mwenyewe na kwa baadhi ya watu ambao nilizipendekeza kwao wametipa majibu Positive sana. Asante kwa kuchukua mda wako kusikiliza🙏🏼