SautiPodcast

S02E25 >> MOTIVATIONAL SPEAKER WANAMSAADA WOWOTE KATIKA MAISHA YAKO?


Listen Later

Kumekuwa na wimbi kubwa la ongezeko la  motivational speaker ( wazungumzaji wanaotoa motisha) kwa upande wako uwepo wao na maneno yao yamebadili kitu chochote katika maisha yako unaona wanamsaada wowote kukusaidia kukua zaidi au?

Ungana na Isack Isack, Timz na Lusekelo katika mada hii!

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

SautiPodcastBy SautiPodcast