Sign up to save your podcasts
Or

SAMIA SULUHU HASSAN ameendeleza vita yake dhidi ya Kanisa Katoliki ambapo jana alituma genge la waandamanaji kwenda Ubalozi wa Vatican kulalamika dhidi ya viongozi wa Kanisa hilo. Miongoni mwa waandamanaji hao walikuwa waumini wa dini ya Kiislamu lakini waliojifanya ni Wakatoliki.
By Evarist Chahali5
11 ratings

194 Listeners