
Sign up to save your podcasts
Or


Raia anapomchagua kiongozi wake, huwa na matumaini kuwa atamwelekeza kwa njia inayofaa. Iwapo atahujumu haki ya waliomchagua, raia huwa na ghadhabu. Hebu sikiliza shairi hili.
By Kimani wa MbogoRaia anapomchagua kiongozi wake, huwa na matumaini kuwa atamwelekeza kwa njia inayofaa. Iwapo atahujumu haki ya waliomchagua, raia huwa na ghadhabu. Hebu sikiliza shairi hili.