Konnect

Show Yourself A Man (Part 2) - 2020


Listen Later

Katika nyakati hizi za karibuni ambapo kuna michanganyiko mingi sana,pamekuwa na mazungumzo mengi sana juu ya nani ni “mwanaume halisi”.Pia pamekua na ongezeko kubwa la wanawake wanaoishi na kutamka kuwa wao hawahitaji wanaume. Je ni kwa nini hali imekua hivi? Ni sawa? Je,wanaume tunahitajika?kwa lipi? Kwa nini mwanaume ni muhimu?
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

KonnectBy Victor Faustine